NATAMANI KUANZA LEO.
Katika maisha ya mafanikio kila mtu anatamani kuanza Leo kuona hatua za mafanikio makubwa. Kila mtu anatamani kuona Kuna hatua fulani anaanza kuziona.
Wataalamu wa Mambo wanasema huweza kuanza biashara Leo na ukaanza kupata faida siku hiyo hiyo unayoanza biashara yenyewe.
Mafanikio na matokeo ya biashara ni mchakato unaochukua muda na gharama nyingi.
Katika kutafuta mafanikio pia kuna kuanguka na kusimama kwingi kunako hi taji nguvu yako na uwekezaji mkubwa .
KWA USHAURI ELIMU NA UWEZESHAJI KWENYE BIASHARA NA UJASIRIAMALI KARIBU ALFAKHA CONSULTING AGENCY.
[20:24, 16/04/2025] ALFAKHA CONSULTING AGENCY: CHUKUA HATUA LEO. ANZA LEO
#️⃣Haijalisha unapitia hali gani kwa sasa kiuchumi. Haijalisha January ina changamoto nyingi kiasi gani, Sijui una Hali gani kwa sasa? Sijui unawaza Nini kwa Sasa? Sijui uko wapi na unafanya Nini?
Lakini Natamani kusema na wewe neno moja tu
"anza lile wazo lako leo" Anza leo kufanyia kazi mipango yako, hata kama bado kuna mambo hayajakaa vizuri "anza kwanza"
#️⃣Kitendo Cha kuanza kitakupa nguvu na ishara za kuanza kuyatafuta mafanikio katika Jamabo lako.
✔️ Kama ulipanga mwaka huu kuanzisha biashara yako ama kuanzisha kampuni yako ama kuanzisha taasisi yako, baasi anza zile hatua za awali ambazo zitakuwezesha kwenda hatua ya pili na tatu Zaidi.
#️⃣Wakati mwingine tunashindwa kupiga hatua katika mipango na malengo tunayojiwekea kila mwaka kwa sababu ya kukosa uthubutu wa kuanza kutekeleza mipango yetu.
#️⃣Unapoweka mipango yako hakikisha unakuwa balozi na msimamizi mkuu wa mipango yako, kushindwa au kufanikiwa katika mipango yako inategemea sana nguvu na kipaumbele unachoweka katika mipango yako.
#️⃣Kama uliweka mpango wako wa kuanzisha biashara yako, kuanzisha taasisi yako au kufungua na kusajili kampuni yako nzuri na umeona umekwama kabisa na umekosa msaada wa mawazo kabisa basi hujachelewa na wala usijutie juu ya jambo hilo nitakuwepo kukusaidia hatua kwa hatua.
📞ALFAKHA CONSULTING AGENCY
#️⃣WASILIANA NASI KWA 0758051641/mwahalendealfred@gmail.com kwa kutuma neno #NATAMANI NIANZISHE SASA.
Comments
Post a Comment