Posts

 MALENGO YANGU HATIMA YANGU #️⃣Habari za Leo ndugu msomaji wa makala zangu za hamasa kwenye "Hatua ya  mafanikio katika Ujasiriamali na biashara" ✍Je, mwaka huu  ulikuwa umepanga kufanya nini?. #️⃣Ni Jambo gani linakupa hamasa, shauku na nguvu ya kuamka? Ni kitu gani kinakusumbua moyoni mwako kinachokufanya unaona bado una  deni kubwa katika malengo yako ya  mwaka 2021? #️⃣ Je, UNAKUMBUKA kwamba huu ni Mwezi wa sita kasoro? Na karibia tunamaliza nusu mwaka?  #️⃣Pamoja na tarehe hii ya leo bado hujachelewa, una nafasi nyingine nzuri, chukua hatua Songa mbele. #️⃣Je, ulipanga kusajili Kampuni yako? Kama Bado hujachelewa, njoo nikusaidie hatua kwa hatua kuhakikisha unafanikisha hatua na mchakato wa usajili kampuni yako kwa #USHAURI, ELIMU NA UWEZESHAJI# ✳️Je, ulipanga kuanzisha shirika la kusaidia jamii ya watanzania, ulipanga kusaidia watoto yatima, walemavu, wazee, vijana, wanawake? Je Ulipanga kuinua sekta ya elimu, afya, mazingira, kilimo na ufugaji? Kama ...
 MANENO YAKO, IMANI YAKO NA THAMANI YAKO VIMEKUFIKISHA HAPO ULIPO #️⃣NA ALFRED MWAHALENDE KUTOKA ALFAKHA CONSULTING AGENCY LIMITED #️⃣ Habari za leo ndugu msomaji wa makala zangu za hamasa katika hatua ya mafanikio kwenye biashara na Ujasiriamali. #PowerYourbusiness2021 #AlfakhaconsultingAgency 👉 Maneno mabaya yanaua nguvu yako ya  kusonga mbele. Usikae na watu wanaokusemea mabaya wataua nguvu yako na kukunyong'onyesha hutapata nguvu ya kuamka kupiga hatua za mafanikio. 👉 Kuna wazazi hutamka maneno mabaya juu ya watoto wao utasikia mzazi anamwambia mtoto wake " Huna akili; wewe ni mbwa tu; Mbuzi tu; kilaza; zero Brain; Maneno haya huua Ndoto na matamanio ya watoto, huvunja mioyo yao na kuwafanya washindwe kupiga hatua. Maneno mazuri huwajenga watoto kutafuta kukufurahisha mzazi kwa kufanya mazuri unayowatamkia #️⃣Leo naomba nikukumbushe jambo hili ambalo limeua Ndoto ya watu wengi na limewagharimu wengi bila kujua. #️⃣ Maneno yako, Imani yako na thamani yako vimekufikisha ha...
NATAMANI KUANZA LEO. Katika maisha ya mafanikio kila mtu anatamani kuanza Leo kuona hatua za mafanikio makubwa. Kila mtu anatamani kuona Kuna hatua fulani anaanza kuziona. Wataalamu wa Mambo wanasema huweza kuanza biashara Leo na ukaanza kupata faida siku hiyo hiyo unayoanza biashara yenyewe.  Mafanikio na matokeo ya biashara ni mchakato unaochukua muda na gharama nyingi.  Katika kutafuta mafanikio pia kuna kuanguka na kusimama kwingi kunako hi taji nguvu yako na uwekezaji mkubwa . KWA USHAURI ELIMU NA UWEZESHAJI KWENYE BIASHARA NA UJASIRIAMALI KARIBU ALFAKHA CONSULTING AGENCY. [20:24, 16/04/2025] ALFAKHA CONSULTING AGENCY: CHUKUA HATUA LEO. ANZA LEO #️⃣Haijalisha unapitia hali gani kwa sasa kiuchumi. Haijalisha January ina changamoto nyingi kiasi gani,  Sijui una Hali gani kwa sasa? Sijui unawaza Nini kwa Sasa? Sijui uko wapi na unafanya Nini? Lakini Natamani kusema na wewe neno moja tu "anza lile wazo lako leo" Anza leo kufanyia kazi mipango yako, hata kama bado kuna ma...
 CHUKUA HATUA LEO. ANZA LEO #️⃣Haijalisha unapitia hali gani kwa sasa kiuchumi. Haijalisha January ina changamoto nyingi kiasi gani,  Sijui una Hali gani kwa sasa? Sijui unawaza Nini kwa Sasa? Sijui uko wapi na unafanya Nini? Lakini Natamani kusema na wewe neno moja tu "anza lile wazo lako leo" Anza leo kufanyia kazi mipango yako, hata kama bado kuna mambo hayajakaa vizuri "anza kwanza"  #️⃣Kitendo Cha kuanza kitakupa nguvu na ishara za kuanza kuyatafuta mafanikio katika Jamabo lako. ✔️ Kama ulipanga mwaka huu kuanzisha biashara yako ama kuanzisha kampuni yako ama kuanzisha taasisi yako, baasi anza zile hatua za awali ambazo zitakuwezesha kwenda hatua ya pili na tatu Zaidi. #️⃣Wakati mwingine tunashindwa kupiga hatua katika mipango na malengo tunayojiwekea kila mwaka kwa sababu ya kukosa uthubutu wa kuanza kutekeleza mipango yetu.  #️⃣Unapoweka mipango yako hakikisha unakuwa balozi na msimamizi mkuu wa mipango yako, kushindwa au kufanikiwa katika mipango yako inateg...
 SIYO WOTE WANAOSEMA "HUWEZI" WANAMAANISHA KWAMBA HUWEZI; WENGINE NI WIVU TU Habari za leo, ndugu msomaji wa makala zangu za hamasa katika hatua za mafanikio katika biashara na ujasiriamali. Namshukuru sana Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na nchi. Aidha, napenda kukushukuru sana wewe msomaji wangu na nakuombea Mungu akufanikishe katika mambo yako yote na uwe na kibali kikuu katika kazi zako zote.​ Siyo wote wanaosema "huwezi" wanamaanisha kwamba huwezi kweli kufanikiwa; la hasha. Wengine wanasema hivyo kwa sababu ya wivu tu, wengine kwa sababu hawajui nguvu uliyonayo katika kufikia mafanikio; wengine kwa sababu hawana uelewa na mambo unayofanya; na wengine kwa sababu wana midomo ya kusemea.​ Ukitaka kupiga hatua na kufanikiwa katika maisha yako, acha kuambatana na wakatisha tamaa. Acha kukaa na kuwasikiliza watu wenye lengo la kukukatisha tamaa.​ Pia, katika kupiga hatua ya mafanikio, usisubiri sana watu waseme. Anza kupiga hatua huku ukijifunza kwa waliofanikiwa n...