CHUKUA HATUA LEO. ANZA LEO
#️⃣Haijalisha unapitia hali gani kwa sasa kiuchumi. Haijalisha January ina changamoto nyingi kiasi gani, Sijui una Hali gani kwa sasa? Sijui unawaza Nini kwa Sasa? Sijui uko wapi na unafanya Nini?
Lakini Natamani kusema na wewe neno moja tu
"anza lile wazo lako leo" Anza leo kufanyia kazi mipango yako, hata kama bado kuna mambo hayajakaa vizuri "anza kwanza"
#️⃣Kitendo Cha kuanza kitakupa nguvu na ishara za kuanza kuyatafuta mafanikio katika Jamabo lako.
✔️ Kama ulipanga mwaka huu kuanzisha biashara yako ama kuanzisha kampuni yako ama kuanzisha taasisi yako, baasi anza zile hatua za awali ambazo zitakuwezesha kwenda hatua ya pili na tatu Zaidi.
#️⃣Wakati mwingine tunashindwa kupiga hatua katika mipango na malengo tunayojiwekea kila mwaka kwa sababu ya kukosa uthubutu wa kuanza kutekeleza mipango yetu.
#️⃣Unapoweka mipango yako hakikisha unakuwa balozi na msimamizi mkuu wa mipango yako, kushindwa au kufanikiwa katika mipango yako inategemea sana nguvu na kipaumbele unachoweka katika mipango yako.
#️⃣Kama uliweka mpango wako wa kuanzisha biashara yako, kuanzisha taasisi yako au kufungua na kusajili kampuni yako nzuri na umeona umekwama kabisa na umekosa msaada wa mawazo kabisa basi hujachelewa na wala usijutie juu ya jambo hilo nitakuwepo kukusaidia hatua kwa hatua.
📞ALFAKHA CONSULTING AGENCY
#️⃣WASILIANA NASI KWA 0758051641/mwahalendealfred@gmail.com kwa kutuma neno #NATAMANI NIANZISHE SASA.
[21:17, 16/04/2025] ALFAKHA CONSULTING AGENCY: 13
[21:17, 16/04/2025] ALFAKHA CONSULTING AGENCY: SIYO WOTE WANAOSEMA "HUWEZI" WANAMAANISHA KWAMBA HUWEZI; WENGINE NI WIVU TU
Habari za leo, ndugu msomaji wa makala zangu za hamasa katika hatua za mafanikio katika biashara na ujasiriamali.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na nchi. Aidha, napenda kukushukuru sana wewe msomaji wangu na nakuombea Mungu akufanikishe katika mambo yako yote na uwe na kibali kikuu katika kazi zako zote.
Siyo wote wanaosema "huwezi" wanamaanisha kwamba huwezi kweli kufanikiwa; la hasha. Wengine wanasema hivyo kwa sababu ya wivu tu, wengine kwa sababu hawajui nguvu uliyonayo katika kufikia mafanikio; wengine kwa sababu hawana uelewa na mambo unayofanya; na wengine kwa sababu wana midomo ya kusemea.
Ukitaka kupiga hatua na kufanikiwa katika maisha yako, acha kuambatana na wakatisha tamaa. Acha kukaa na kuwasikiliza watu wenye lengo la kukukatisha tamaa.
Pia, katika kupiga hatua ya mafanikio, usisubiri sana watu waseme. Anza kupiga hatua huku ukijifunza kwa waliofanikiwa na kuangalia walifanikiwaje, na pia kujifunza kwa waliofeli ili ujue walifelije.
Maneno mabaya huzorotesha nguvu ya kupiga hatua. Maneno mabaya yana nguvu kubwa sana katika kukurudisha nyuma kuliko maneno mazuri.
KWA USHAURI, ELIMU NA UWEZESHAJI KATIKA HATUA YA URASIMISHAJI WA BIASHARA NA HUDUMA TANZANIA
Wasiliana nasi kupitia:
Forbes
📞 +255 758 051 641
📧 mwahalendealfred@gmail.com
Comments
Post a Comment