MALENGO YANGU HATIMA YANGU
#️⃣Habari za Leo ndugu msomaji wa makala zangu za hamasa kwenye "Hatua ya mafanikio katika Ujasiriamali na biashara"
✍Je, mwaka huu ulikuwa umepanga kufanya nini?.
#️⃣Ni Jambo gani linakupa hamasa, shauku na nguvu ya kuamka? Ni kitu gani kinakusumbua moyoni mwako kinachokufanya unaona bado una deni kubwa katika malengo yako ya mwaka 2021?
#️⃣ Je, UNAKUMBUKA kwamba huu ni Mwezi wa sita kasoro? Na karibia tunamaliza nusu mwaka?
#️⃣Pamoja na tarehe hii ya leo bado hujachelewa, una nafasi nyingine nzuri, chukua hatua Songa mbele.
#️⃣Je, ulipanga kusajili Kampuni yako? Kama Bado hujachelewa, njoo nikusaidie hatua kwa hatua kuhakikisha unafanikisha hatua na mchakato wa usajili kampuni yako kwa #USHAURI, ELIMU NA UWEZESHAJI#
✳️Je, ulipanga kuanzisha shirika la kusaidia jamii ya watanzania, ulipanga kusaidia watoto yatima, walemavu, wazee, vijana, wanawake? Je Ulipanga kuinua sekta ya elimu, afya, mazingira, kilimo na ufugaji? Kama bado hujachelewa wakati ni sasa. Njoo tuyajenge nikusaidie hatua kwa hatua kukamilisha mchakato mzima mwahalendealfred@gmail.com/0758051641
✳️Je, ulipanga kuanzisha na kusajili biashara yako ili uweze kutambulika kisheria na kuwa na uhakika wa biashara yako na jina la biashara unalotumia kwenye biashara na huduma zako? Tuwasiliane kwa +225758051641/mwahalendealfred@gmail.com
✳️ Je, Ulipanga kuanzisha taasisi kubwa itakayoleta Tija kwenye taifa na jamii yako? Njoo tushauriane na tupeane elimu.
✳️Ulipanga kukuza na kuendeleza kipaji chako, taaluma yako, uwezo wako, maono na ndoto zako, wazo lako zuri biashara?.
👉Njoo ALFAKHA CONSULTING AGENCY tushauriane.
#️⃣kumbuka kwamba ulizaliwa kwa kusudi maalumu, hukuja duniani kuja kutalii na kushangaa mafanikio ya wengine.
#️⃣Kama bado uko hai Leo unayo nafasi ya kufanikiwa kesho, usijiulize na kuangalia juu ya uchumi wako, hali yako, mazingira yako, elimu yako, ndugu zako, marafiki zako, wazazi wako.
#️⃣Wewe una nafasi ya kufanya mapinduzi makubwa na ukabadili sura ya dunia na kupafanya dunia kuwa mahali salama zaidi kwako na kwa watu wote.
MWAWASILIANO
+256758051641
mwahalendealfred@gmail.com
#YOPOCODE
#ALFAKHA
Comments
Post a Comment